Thursday, June 28, 2012

KONYAGI YAKABIDHI KISIMA KWA WATU WA VIKUNAI MBAGALA.



Meneja wa kinywaji cha Konyagi Martha Bangu (katikati) na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vikunai nnje kidogo ya Mbagala Bi Zena Khamisi wakifungua maji kuashiria uzinduzi wa kisima hicho kilichojengwa na kampuni ya Konyagi ikiwa ni kurejesha sehemu ya faida kwa jamii.
 Wakazi wa eneo hilo la Vikunai wakishudia uzinduzi huo.
Baada ya kujaza ndoo sasa Martha akimtwisha ndoo hiyo mmoja wa wana Vikunai.

3 comments: