DAR ES SALAAM, Tanzania
WAZIRI
wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ametengua nafasi ya Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Paul Chizi kutokana na
uteuzi wake kuwa kinyume na sheria, Kanuni na Utaratibu wa Utumishi wa
Umma .
“Chizi Paul aliteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege (ATCL) Agosti 6
mwaka 2011, hata hivyo utaratibu wa uteuzi wake haukufuata Sheria,
Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma”ilisema taarifa hiyo.
No comments:
Post a Comment