Beki
wa timu ya soka ya taifa (Taifa Stars), Aggrey Morris (kulia) na kiungo
Shaaban Nditi (kushoto) wakijaribu kumzuia mshambuliaji wa kimataifa wa
Ivory Coast, Didier Drogba (katikati), wakati wa mchezo wao wa jana wa
mchujo kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini
Brazil, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini
Abidjan. Ivory Coast ilishinda mabao 2-0. (PICHA NA MPIGAPICHA WETU)
Didier Drogba (kushoto) akisalimiana na John Boko wa Taifa Stars baada mechi kumalizika
Drogba akifanya vitu vyake
No comments:
Post a Comment