Kamanda Mkuu wa Kikosi Cha Usalama Barabarani akizungumza na Waandishi
wa Habari Mara baada ya kuzindua kampeni ya kubandika stika zenye namba
za simu za vituo mbalimbali ambazo abiria watazitumia kwaajili ya kutoa
taarifa za usalama na matukio ya uvunjifu wa sheria barabarani.
Kampeni hiyo inadhaminiwa na benki ya posta (TPB)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Moshingi akibandika sitika hizo. |
Mmoja wa Madereva waliokabidhiwa Stika hizo kwaajili ya kuzibandika kwenye magari |
n7q40a1x37 h7l54d4q15 y4r25c7x29 o8j75o8s38 p3y94o6y62 a2n38u8x50
ReplyDelete