Baadhi ya wafanyakazi
na wateja wa benki ya Barclays jijini Dar es Salaam , leo
wameshiriki katika kampeni ya uchangiaji damu kwa ajili ya Mpango wa
Taifa wa Damu Salama, kampeni iliyoandaliwa na benki hiyo ili kusaidia
kuboresha afya ya kina mama na watoto nchini. Pichani, ni Dr Abdu Juma
wa Wizara ya Afya na Ushawi wa Jamii pamoja na wateja wengine wa
Barclays wakishiriki katika kampeni ya uchangiaji.
Dickson Joseph akichangia damu katika mpango huo zoezi hilo limefanyika leo jijini Dar es salaam.
Abdu Juma, Paulo Anthon na Elisante John wakichangia damu katika zoezi hilo lililofanyika leo jijini Dar es salaam.
Zoezi hilo likindedelea.
No comments:
Post a Comment