Sunday, July 29, 2012

DIWANI KATA YA KIVULE ASAIDIA MSONGAMANO WA KUJIANDIKISHA VITAMBULISHO VYA TAIFA


 Diwani wa Kata ya Kivule, Dar es Salaam, Getama Nyansika (kulia) akiwa amezingirwa na wananchi alipokuwa akigawa fomu za kuijiandikisha katika daftari la Vitambulisho vya Taifa leo katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Kivule.Nyansika alisaidia sana kupunguza msongamano wa watu uliokuwepo hapo tangu alfajiri.
 Wakazi wa eneo hilo wakiwa katika moja ya mlango wakigombea kuingia kuchukua fomu
                                                Wakiwa kwenye foleni kwenda kujiandikisha ndani
                                   Baadhi yao baada ya kupata foumu wakisoma vizuri maelekezo
Baadhi ya akina mama wakiwemo wazee wakiwa wamekaa wakisubiri zamu ya kuingia kujiandikisha. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment