Sunday, July 1, 2012

MASHINDANO YA DARTS YAPAMBA MOTO UPINZANI MKALI


 Mchezaji Bora wa Kike wa Jeshi la Magereza wa Uganda, AmoclingDunah akicheza dhidi ya mpinzani wake Pascalina Muenki wakati wa mashindano ya Kimataifa ya mchezo huo yanayoendelea jijini Mwanza
 Mchezaji wa kike kutoka Kenya, Pascalina Muenki akicheza dhidi ya mpinzani wake Amocling Dinah wakati wa mashindano ya Kimataifa yanayofanyika jijini Mwanza
 Evarist Gujenga kutoka Kilimanjaro akicheza
Mchezaji George Anthony kutoka Dar es Salaam Polisi Balax akicheza

No comments:

Post a Comment