Tuesday, July 24, 2012

MBU WA AJABU

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/?ui=2&ik=15bca2b9f1&view=att&th=138b7f3e70defe9d&attid=0.1&disp=inline&safe=1&zw&saduie=AG9B_P8IDBBV66GRCxbqjQA8oqBo&sadet=1343138657328&sads=_rPgI2wLHbbKc_KHBRyIMQvbyj8&sadssc=1
Mkubwa hali vipi? Hebu nitolee kwenye blog yako picha ya huyu Mbu wa Ajabu ambaye nimemkuta leo ndani kwangu. Ana features zote za Mbu ila mabawa yake na rangi imenistua kidogo. Naomba uniwekee kwenye blogs ili wadau watuhabarishe huyu ni mbu wa jamii gani na analeta madhara gani kwa jamii au siyo mbu ni mdudu tuu? Utaniwia radhi Quality ya picha inaweza kuwa siyo nzuri sana kwa sababu nimetumia simu yangu ya mkononi.

No comments:

Post a Comment