NMB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA JENGA MAISHA NA NMB
Mkuu
wa Idara ya Masoko na Mawasiliano NMB, Imani Kajula (kuhoto) akikabidhi
zawadi kwa mshindi promosheni ya Jenga Maisha na NMB, Richard Makala
ambaye amejishindia tani ya saruji katika hafla iliyofanyika jijini Dar
es Salaam.
Washindi
wa Jenga Maisha na NMB wakabidhiwa zawadi zao kutoka kushoto ni
Victoria Marisel, Ramadhan Mgunya, Rehema Mohamed, Rose Mandera na
Richard Makala) kwenye suti ni Imani Kajula Mkuu wa Idara ya Masoko na
Mawasilano. Hafla fupi ilifanyika tawi la NMB Airport jijini Dar es
Salaam
No comments:
Post a Comment