Mwenyekiti
wa bodi ya Shirika la ndege la Precision Air Bw. Michael Shirima
akimkabidhi zawadi Mh Rais Dk. Jakaya Kikwete mara baada ya kuzinduz
rasmi karakana na ndege za shirika hili (Hanga) kwenye uwanja wa ndege
wa Mwalimu J.K.Nyerere leo jijini Dar es salaam, Karakana hiyo itakuwa
na ikihudumia ndege za shirika hilo la mashirika mengine pia lakini pia
itapokea wanafunzi walio kwenye mafunzo ya Uinjini wa ndege kutoka
katika vuo vya ndani. |
No comments:
Post a Comment