Tuesday, July 24, 2012

SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO WAKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI YAFANYIKA DAR


 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh akisoma hotuba yake wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Mameneja wa Taasisi za Umma iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 
 Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) John Cheyo.


No comments:

Post a Comment