Tuesday, July 24, 2012

TIGO YAKAMILISHA DROO YA MWISHO YA TIGO BEATS


Mtaalamu wa promosheni wa Tigo Edward Shilla (kushoto) na Ofisa wa viwango wa Tigo Pamela Shelukindo, wakitabasamu baada ya kusikia furaha ya mshindi wa shindano la tigo beats mara baada ya kuchezeshwa droo ya mwisho.

Mtaalamu wa promosheni na udhamini wa Tigo Edward Shilla akzizungumza na waandishi wa habari kuhusu kumalizika kwa promosheni ya Tigo beats ambapo kwenye droo ya leo amepatikana mshindi wa pili Hamisi Athumani Mkazi wa Morogoro aliyejishindia Tsh 10Millioni, kutoka kulia ni Afisa habari wwa tigo Alice Maro, Chiku Saleh kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha na Afisa wa viwango wa Tigo Pamela Shelukindo.


Pamela akipiga simu kwa mshindi huyo.
Uhakiki wa namba ya mshindi unafanyika kwa kuandika nambayake baada ya kuitamka kwa usahihi.
You might also like:

No comments:

Post a Comment