Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Sued Kagasheki akimkabidhi tuzo
ya kinyago Bi. Jena Fox, mwanahabari kutoka Jarida maarufu la nchini
Marekani la Travel Agent Magazine jijini New York hivi karibuni. Tuzo
hii ilitolewa na Bodi ya Utalii nchini kufuatia uandishi mzuri wa makala
mbalimbali za kutangaza ukanda wa utalii wa kusini katika soko la Marekani
|
No comments:
Post a Comment