Tuesday, July 24, 2012

WAZIRI WA MAMBO YA NCHI ZA NJE NA USHIRIKIANOWA KIMATAIFA BERNAD MEMBE AFIKA IKULU ZANZIBAR KUMPA POLE DAKTARI SHEIN.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimatifa Benard Membe, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kwa madhumuni ya kutoa mkono wa pole kwa Rais kutokana na Ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Seagul,na kusababisha wananchi kupotez Roho zao.
Akikaribishwa baada ya kufika Ikulu ya Rais huyo Mjini Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment