Friday, August 24, 2012

EXTRA BONGO WAJA NA MOTO MKALI MKUTOKA ULAYA,WAITEKA KIMARA SIKU KUU YA EID,MEEDA PAFURIKA EID PILI




 

Mwimbaji na Kiongozi wa wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela akiima wakati wa onyesho maalum la siku Kuu ya Eid Pili katika Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es Salaam
Mpiga Bass, Hoseah Mgoachi akilichalaza gitaa sambamba na wacheza shoo wakati wa onyesho hilo
Wacheza shoo wa kike wa Band ya Extra Bongo wakicheza wakati wa onyesho maalum la siku Kuu ya Eid pili katika Ukumbi wa Meeda jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment