Friday, August 17, 2012

EXTRA BONGO YAFUTURISHA YATIMA WA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME


 Kiongozi wa wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela akigawa futari kwa watoto wa New Life Orphans Home
 Kiongozi wa Bendi ya Extra Bongo, Rogert Hegga Carterpillar, akigawa futari kwa watoto wa New Life Orphans Home
 Baadhi ya watoto wa kituo hicho wakifuturu
 Rais wa Bendi ya Extra Bongo, Ali Choki akifuturu pamoja na watoto wa kituo hicho
Maseneta wa Extra Bongo wakipata futari wakati bendi yao ilipofuturisha watoto yatima

No comments:

Post a Comment