Saturday, August 18, 2012

Kwenye kusaka vipaji kutatusaidia?



Wakati nchini Tanzania mashindano yakusaka vipaji vya kuimba kule nchini naijeria mchuano wa kusaka vipaji vya kuchezea gozi la ng’ombe ya kabumbu aka Soka linaendelea baada ya kutoka jimbo la kusini magharibi Ibadan leo na kesho kindumbwe ndumbwe hicho kitafanyika kwenye jiji la Lagos
Kijana akionyesha uwezo wake wakuchezea soka.

No comments:

Post a Comment