Wednesday, August 15, 2012

MABONDIA RASHID MATUMLA NA MANENO OSWARD KUTWANGANA - IDD KATIKA UKUMBI WA DAR LIVE


Promota wa mchezo wa masumbwi, Kaike Siraju (katikati), akiwainua mikono juu mabondia, Maneno Osward (kushoto) na Rashidi Matumla wakati wa kutambulisha pambano lao linalotarajiwa kufanyika siku ya IDD  katika Ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam. Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashidi Matumla wakitunishiana misuli.

No comments:

Post a Comment