Sunday, August 19, 2012

MAKAMU WA RAIS AONGOZA SWALA YA IDD EL FITR


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kushoto) Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, (wa tatu kushoto) wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Idd El Fitr iliyofanyika leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
 Waumini wakiwa katika Swala ya Idd El Fitr
 Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya Swala ya Idd El Fitr
 Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal kitoa salamu za Idd kwa waumini wa Kiislamu leo
Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahimu Lipumba akiwa na Mbunge wa Ilala, Idd Azan Zungu wakati wa |Swala ya Idd El Fitr leo

No comments:

Post a Comment