Friday, August 24, 2012

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA MPANGO WA KASI YA UWEZESHAJI WANAWAKE NA WASICHANA


Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wake wa viongozi mbalimbali (kulia) Mama Zakhia Bilal na (wapili kushoto) Mama Asha Bilal, wakifurahia uzinduzi wa Mpango wa Kasi ya Uwezeshaji wa Wanawake na Wasichana leo katika ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt Asha-Rose Migiro baada ya Mama Kikwete kuzindua Mpango wa Kasi ya Uwezeshaji wa Wanawake na Wasichana leo katika ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment