Tuesday, August 21, 2012

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA MKUTANO WA SADC MSUMBIJI


MKE  WA RAIS WA TANZANIA KUSHOTO MAMA SALMA KIKWETE  NA KULIA MKE WA RAIS WA ZAMBIA  DR. CHRISTINE  KASEBA –SATA WAKIUFURAHIA AZIMIO LA MKATABA WA KUONDOA UKIMWI  KATI YA MAMA KWENDA KWA MTOTO  MKATABA  ULIOFANYIKA MJINI MAPUTO  MSUMBIJI JUZI
 WAKE WA MARAIS  WA KUSINI MWA AFRIKA WAKIWA KWENYE CHUMBA CHA  MAJADILIANO ,KUTOKA KUSHOTO NI MKE WA RAIS WA MOZAMBIQUE DR.MARIA da LUIZ Dai  GUEBUZA, WA PILI KUSHOTO MKE WA RAIS WA NAMIBIA PENEHUPIFO POHAMBA  ,WA TATU KUSHOTO NI MKE WA RAIS WA ZAMBIA DR.CHRISTINE KASEBA –SATA,WA KWANZA KULIA NI MKE WA RAIS WA TANZANIA SALMA KIKWETE  WAKISUBIRI KUSAINI AZIMIO LA MKATABA WA KUONDOA UKIMWI KUTOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO  MJINI MAPUTO JUZI
KAMATI  YA  WAKE  WA VIONGOZI WA WAKUU WA  KUSINI MWA AFRIKA  (SADC ) WAKIWA  KWENYE PICHA YA PAMOJA BAADA YA MAPUMZIKO MJINI  MAPUTO KABLA HAWAJASAINI  AZIMIO YA MKATABA WA KUONDOA MAAMBUKIZO YA UKIMWI KUTOKA MAMA KWENDA KWA MTOTO .
KIKUNDI CHA BURUDANI KIKITOA BURUDANI KATIKA MKUTANO HUO.PICHA NA ANNA ITENDA – MAELEZO

No comments:

Post a Comment