Sunday, August 12, 2012

MUHAMEDI KIJUSO NA YUSUPH MUGWAO WATEMWA RUVU SHOOTING


Timu ya Ruvu Shooting inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania Bara imewasilisha majina ya usajili ya wachezaji 26 waliosajiliwa Ruvu Shooting wa zamani ni Michael Norbert, Gido Chawala, Godhard Misweku, Liberatus Manyasi, Geordge Osey, ManGasin Mbonosi, Paul Ndauka, Benjamin Haule, Jumanne Juma, Shaban Suzan, Saidi Madega, Nyambiso Athuman, Raphael Keyala, Frank Mabande, Frank Msese, Michael Aidan, Gharibu Musa, Ayubu kitala, Ernest Jackson.

Waliosajiliwa wapya ni Said Dilunga, Hussen Swedi, Mau Ally Gofu, Gideon Sepo, Kurwa mobi, Philimon Mwandesile.

Walioachwa ni Muhamed Kijuso, Emanueli Mwagamwaga, Yusuph Mugwao na Kasimu Kilungo.

No comments:

Post a Comment