Tuesday, August 21, 2012

NEW Song; SSEN LUBI – FUNGU LA KUKOSA


HATIMAYE  ILE LEBO YA LINEX  INAYOKWENDA KWA JINA LA SAUTI ZA AFRIKA IMEACHIA TRACK MPYA KABISA YA MMOJAWAPO WA WASANII WA KUNDI HILO ANAYEJULIKANA KAMA “SSEN LUBI”. 
 WIMBO AMBAO AMEACHIA SSEN UNAITWA  “ FUNGU LA KUKOSA”  CHINI YA USIMAMIZI WA STUDIO ZA SEDUCTEVE MTAYARISHAJI AKIWA MR. T. TOUCH, AMBAPO  KABLA YA KUACHIA  AUDIO YA WIMBO HUU,  TAYARI VIDEO YAKE AMEACHIA MWEZI MMOJA ULIOPITA NA INAFANYA VIZURI SANA KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISION, VIDEO HIYO AMBAYO AMEFANYA  EMPTYSOULZ  PRODUCTION CHINI YA USIMAMIZI WA MTU MZIMA SOLOMONI LAMBA.
 LINEX AMBAYE NDIO KIONGOZI WA KUNDI HILI AMESEMA  KWENYE LEBO YAKE  YA SAUTI ZA AFRIKA ANA VIJANA WENYE VIPAJI VYA HALI YA JUU KABISA, NA KWA KUANZA AMEANZA NA SSENI AMBAYE KWA SASA ANATISHA KWENYE ANGA LA MUZIKI WA KIZAZI KIMPYA.

WASIFU WA SSEN:
Jina la kisanii :     ssen
Jina la wimbo :    fungu la kukosa
Studio              :   SEDUCTEVE
Producer         :  MR. T TOUCH
Contact (ssen) :  0719 208090
Facebook user name :   ssen lubi

No comments:

Post a Comment