Saturday, August 18, 2012

NI ZAMU YA ZOLA D NA MCHUMIATUMBU UZITO WA JUU


Bondia David Michael Mlope (Zola D – King) akitunishiana msuli na Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia David Michael Mlope (Zola D – King)  akipima uzito leo kwa ajili ya mpambano wa idi pili utakaofanyika katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke
Mwenyekiti wa SHIWATA Cassim Taalib katikati akiwainua mikono juu mabondia  David Michael Mlope (Zola D – King)  kushoto na Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo).picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
BONDIA Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) AKIPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA David Michael Mlope (Zola D – King) KULIA.picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
BONDIA Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) AKIPIMA UZITO.picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
MTANGAZAJI WA KITUO CHA ITV AMIR MASARE AKIMUOJI BONDIA David Michael Mlope (Zola D – King).picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
BONDIA David Michael Mlope (Zola D – King)  Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo).picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment