Friday, August 24, 2012

NMB YATAMBULISHA MPANGO WA FINANCIAL FITNESS MTWARA


Wanafunzi wa Shule ya Msingi Ligula wakijisomea jarida la NMB Financial Fitness walilogawiwa na wafanyakazi wa NMB Mtwara wakati wa kuutambulisha mpango. (Picha na Mpiga Picha Wetu).
Meneja wa NMB Kanda ya Kusini Bw. Thomas Kilongo (wa nne kulia) kwenye picha ya pamoja na wanafunzi Shule ya Msingi Ligula iliyopo Mtwara mara baada ya utambulisho wa mpango wa NMB Financial Fitness, shuleni hapo.

No comments:

Post a Comment