Wednesday, August 15, 2012

PICHA MBALIMBALI ZA ONESHO LA TIGO UWANJA WA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI.

Ushiriki wa Kampuni ya Tigo katika Maonesho ya Wakulima
‘Nane Nane’ Taso Kanda ya Mashariki , inayojumuisha Mikoa ya Morogoro,
Tanga, Pwani na Dar es Salaam, siku ya kilele , katika ushiriki huo,
wateja mbalimbali walitembelea Banda hilo na kupatiwa huduma
mbalimbali , onesho hilo lilipambwa na michezo ya wasanii
wanaochipukia wa Mkoa wa Morogoro pamoja na nguli wa muziki wa kizazi
kipya , H. Baba aliyewagong’a nyoyo wananchi walioshiriki siku ya
Kilele

BAADHI YA WANANCHI WALIOJITOKEZA KUJISAJILI NA HUDUMA ZA TIGO
WASANII WAKIFANYA VITU VYAO
WASANII WAKIENDELEA KUFANYA VITU VYAO
WANANCHI WAKIPATA BURUDANI ZILIZOKUWA ZIKIENDELEA

No comments:

Post a Comment