Monday, August 27, 2012

PINDA AHESABIWA KIJIJINI KWAKE KIBAONI- KATAVI




Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihojiwa na Karani wa sensa, Beatrice Nchimbi wakati alipojiandikisha kijini kwake Kibaoni, mkoani Katavi, Agosti 26,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment