Monday, August 27, 2012

RAIS WA ZANZIBAR ASHIRIKI ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Moahmed Shein, akijiandikisha na  familia yake kwa Karani,  Asia Hassan Mussa,(kushoto) katika zoezi la Sensa ya Watu na Makaazi, lililoanza leo nchini kote,Rais  akiwa katika  Shehia ya Migombani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kulia ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

No comments:

Post a Comment