Wednesday, August 15, 2012

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembele Kijiji cha Marumbi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na  na Viongozi na wananchi pamoja na Wavuvi wa Kijiji cha Marumbu Wilaya ya Kati Mkoa Kusini Unguja leo,katika  Skuli ya Sekondari ya Marumbi,kuhusu tatizi la Mzozo wa Wavuvi wa kijiji hicho kuchukuliwa Boti zao na Wavuvi wa Kijiji cha Chwaka na hatimae kuzichoma Moto boti hizo.
 Waziri wa Uvuvi na Mifugo Abdilah Jihadi Hassan,akitoa maelezo mbele ya   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipofika katika Skuli ya Marumbi kusikiliza malalamiko ya mzozo wa Wananchi wa Kijiji cha Marumbi na Wananchi wa Chwaka, badala ya Chwaka walipozichukua Boti mbili na Kuzichoma  Moto hivi karibuni
   Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano  Issa Haji Gavu,akitoa maelezo mbele  ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipofika katika Skuli ya Marumbi kusikiliza malalamiko ya mzozo wa Wananchi wa Kijiji cha Marumbi na Wananchi wa Chwaka, badala ya Chwaka walipozichukua Boti mbili na Kuzichoma  Moto hivi karibuni
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Mustafa Aboud Jumbe, akitoa maelezo mbele ya   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipofika katika Skuli ya Marumbi kusikiliza malalamiko ya mzozo wa Wananchi wa Kijiji cha Marumbi na Wananchi wa Chwaka, badala ya Chwaka walipozichukua Boti mbili na Kuzichoma  Moto hivi karibuni
  Msemaji wa Wananchi na wavuvi wa kijiji cha Marumbi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Ufuzo Haji,akitoa maelezo ya malalamiko ya wananchi hao mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,aliyefika Skuli ya Sekondari ya Marumbi Kusikiliza kilio chao kutokana na mzozo na Watu wa Kijiji cha Chwaka  leo
   Akina mama wa Kijiji cha Marumbi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,alipofika Skuli ya Sekondari ya Marumbi Kuzungumza na Wananchi na Wavuvi katika kijiji hicho leo, kusikiliza kilio chao cha kuchomewa Boti zao mbili
  Baadhi ya wananchi na wavuvi  wa Kijiji cha Marumbi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,alipofika Skuli ya Sekondari ya Marumbi Kuzungumza na Wananchi na Wavuvi katika

No comments:

Post a Comment