Wednesday, August 29, 2012

REDD'S MISS MWANZA KUPATIKANA ISAMILO LODGE


Warembo wa Redd’s Miss Mwanza 2012 wakiwa wakiwa katika picha ya pamoja kambini kwao katika Hoteli ya Isamilo Lodge, ambako jumla ya walimbwende 18 kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza, watashiriki shindano hilo linalotarajiwa kufanyika Agosti 31 ndani ya Yatch Club jijini Mwanza

No comments:

Post a Comment