Sunday, August 19, 2012

SUPER D BOXING COACH ALIVYOSHEREKEA SIKUKUU YA IDI

KOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' AKIWA AMEPOZI WAKATI WA SIKUKUU YA IDI ALIPOTEMBELEA KATIKA UKUMBI WA DAR LIVE ULIOPO MBAGALA KULIPOKUWA NA MPAMBANO WA MASUMBWI KATI YA RASHIDI MATUMLA NA MANENO OSWARD AMBAPO MANENO ALIBUKA MSHINDI KWA POINT .PICHA NA WWW.SUPERDBOXINGCOACH.BLOGSPOT.COM
RAJABU MHAMILA 'SUPER D' AKIWA SAMBAMBA NA MDOGO WAKE RSHIDI MHAMILA AMBAYE NI JEMBE LAKE LA KUTUMAINIWA KATIKA MASWALA YA KAZI ANAZOFANYA ZA KUSAMBAZA DVD ZA MASUMBWI WWW.SUPERDBOXINGCOACH.BLOGSPOT.COM
SUPER D KATIKATI AKIWA NA RASHIDI MHAMILA 'NGADE' KUSHOTO NA RAJABU MLOWE
SUPER D AKIFURAIA JAMBO NDANI YA UKUMBI WA DAR LIVE
SUPER D KULIA AKISALIMIANA NA JUMA MBIZO WA DAR LIVE
SUPER D AKIWA AMEPANGA DVD ZAKE ZA MASUMBWI KWA AJIRI YA KUUZA KATIKA UKUMBI WA DAR LIVE
MABONDIA WALIOKUWA WAKIPAMBANA WAKIONESHANA UBABE

BONDIA  VENANSI MONJI KUSHOTO AKIPAMBANA NA SADIQ MOMBA AMBAPO MOBA ALISHINDA KWA POINT LEO PICHA NAWWW.SUPERDBOXINGCOACH.BLOGSPOT.COM
RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

No comments:

Post a Comment