vifaa
vipya vya timu ya soka ya Simba wakiwa kwenye mazoezi katika katika
viwnja vya mpira cha shule ya St. Jude jijini Arusha,Kushoto Pasco
Ochieng na Paulo Ngalema. Picha zote na Ahmed Mahmoud.
Mchezaji mpya ,Daniel Kuffor kutoka nchini Ivory Coast akiwa kwenye mazoezi na timu yake ya Simba
Mchezaji mpya wa Simba Paulo Ngalema akiwa kwenye mapumziko ya mechi ya mazoezi na timu ya shule ya st Jude.
No comments:
Post a Comment