Sunday, September 9, 2012

KAMANDA GULUMO AUNGULUMA NA MSONDO NGOMA MAX BAR UISIKU WA LEO

Mwimbaji Mkongwe wa Bendi ya Msondo Ngoma Muhidini Gulumo kushoto akiimba sambamba na Hassani Moshi 'Tx Jr' wakati wa bendi hiyo ilipotumbuiza katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni Gulumo ni mwanamziki Mkongwe pekee aliyedumu katika Jukwaa kwa mda mrefu nchini ambapo hivi karibuni alikuwa akisumbuliwa na Maradhi yanayomkabili lakini kwa sasa karudi ulingoni kukonga mashabiki wa bendi hiyo msondo kila jumapili inatumbuiza katika ukumbi wa Max Bar Picha na www.burudan.blogspot.com
Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakitoa burudani wakati walipokuwa wakitumbuiza katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Muhidini Gulumo,Hassani Moshi na Shabani Dede .Picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment