Thursday, September 6, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI CHA WATU WA KOREA (KOREA BUSINESS CENTRE) JIJINI DAR ES SALAAM


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza kushoto upande wa kulia) akijumuika pamoja na viongozi KOTRA ya Tanzania, wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Sept 06, 2012. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Rais wa KOTRA, Young-Ho oh, wakati wa na wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Sept 06, 2012. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Sept 06, 2012.

No comments:

Post a Comment