Monday, September 17, 2012

MANTRA TANZANIA YAICHANGIA MIL 8 TIMU YA NGUMI RUVUMA



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihGZpg4sMFIr251F1kWIAiw8LResAp1wyeN-W8yB0iJ7CT4PFd2rVgnldP7yVMu2sWJvzP4mrFmeW-jY9PQAVQSwCKLbqPXzsCQoqpyaLV9pGifqBUI5_9CILcf0I4ZmUwer4k-5b2EvI/s1600/pix+1.jpg
 Mkurugenzi wa Mahusiano wa taasisi isiyokuwa ya kiserikali (Mantra) Bernad Mihayo akimkabidhi mkuu wa wilaya ya songea Joseph Mkirikiti msaada wa shilingi milioni nane  katika kusaidia timu ya Mchezo ngumi mkoani ruvuma ambayo inashiriki mashindano ya nguni ya taifa ambayo yameanza leo september 17 katika uwanja wa ndani wa taifa

No comments:

Post a Comment