Monday, September 17, 2012

MASHINDANO YA UBINGWA WA TAIFA YAANZA LEO

Kocha wa timu ya Ngumi ya mkoa wa kimichezo Ilala, Rajabu Mhamila 'Super D' akimuandaa mchezaji wake, Eammanuel Mogela kabla ya kupanga ulingoni

 Bondia Emmanuel Mogela wa mkoa wa kimichezo wa Ilala akiwa chini baada ya kupigwa konde na bondia, Said Hofu wa JKT katika mashindano ya Ubingwa wa Taifa 2012 kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Said Hofu alishinda kwa RSCO. (Na Habari Mseto Blog)
Kocha wa timu ya Ngumi ya mkoa wa kimichezo Ilala, Rajabu Mhamila 'Super D' akimuandaa mchezaji wake, Eammanuel Mogela kabla ya kupanga ulingoni

No comments:

Post a Comment