Sunday, September 9, 2012

MRITHI WA KANUMBA ATOA KAZI YAKE YA KWANZA!


Hii ni filamu mpya kutoka Kampuni ya Kanumba The Great Films iitwayoMALAIKA iliyotungwa na Seth Bosco, ambayeni mdogo wa marehemu kwa kushirikiana na Rose Ndauka na kuongozwa na Zakayo Magullu. Muda si mrefu itakuwa sokoni, tafadhali kaa mkao wa kuburudika.
 
SOURCE:bongofilmdatabase.blogspot.com

No comments:

Post a Comment