Thursday, September 20, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI LEO



Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi ujenzi wa Daraja la Kigamboni katika hafla iliyofanyika huko Kurasini jijini Dar es Salaam leo mchana. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dk John Pombe Magufuli na wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk Ramadhani Dau. NSSF itagharamia asilimia 60 za ujenzi wa daraja hilo na serikali asilimia 40. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment