Friday, September 28, 2012

RAIS KIKWETE AAGANA NA MABALOZI WA CUBA NA IRAN IKULU DAR ES SALAAM LEO



*

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Balozi wa Iran nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe. Mohsen Movahhedi Ghomi, leo Ikulu Dar es salaam. 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Balozi wa Cuba  nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe. Ernesto Gomes Dias,leo Ikulu jijini Dar es salaam. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment