Tuesday, September 4, 2012

REDD'S MISS KINONDONI 2012 KULINDIMA SEPTEMBA 14, 2012


Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni  2012 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada kumaliza mazoezi yao ya kila siku ambayo yameanza Sept 1, 2012 ndani ya Ufukwe wa Cine Club. Mashindano ya Redd's Miss Kinondoni 2012 yanatarajiwa kufanyika Ijumaa Sept 14, 2012 katika Ukumbi wa Cassa Complex Mikocheni.
Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakijinoa kwa kasi ili kuweza kupatikana Mrembo atakayeiwakilisha Mkoa wa Kinondoni katika Mashindano hayo kitaifa.
Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakiwa katika pozi.
Jumla ya warembo 12 wanataraji kupanda jukwaani kuwania taji la Redd’s Miss Kinondoni 2012, shindano litakalofanyika Ijumaa Sept 14, 2012.

No comments:

Post a Comment