Monday, September 3, 2012

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO

Makamuwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa mjini Unguja-Zanzibar, wakati alipokuwa akizindua Kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Geji, mjini Unguja jana Sept 02, 2012. Picha na OMR

 Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba, akimvisha Skafu ya Bendera ya Tanzania, Mgombea wa nafasi ya Uwakilishi wa Jimbo la Bububu, kupitia CCM, Hussein Ibrahim Makungu ikiwa ni ishara ya heshima kuvua utambulisho wake na kumtunuku mgombea huyo,  wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Geji, mjini Unguja jana Sept 02, 2012. Picha na OMR


Mashabiki na wanachama wa CCM, wakishangilia na kufurahia hotuba ya Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiwahutubia wananchi hao kwenye sherehe za uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Geji, mjini Unguja jana Sept 02, 2012. Picha na OMR

Mbunge wa Iramba, Mwigulu Nchemba, akizungumza  wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo.

Msanii wa muziki wa Taarab, na mkurugenzi wa kundi la Taarab la Jahaz Modern Taarab, Mzee Yusuph, akishambulia jukwaa kwa vibao vyake vya sebene la Taarab, wakati wa sherehe za uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Geji, mjini Unguja jana Sept 02, 2012. Picha na OMR

Mgombea wa nafasi ya Uwakilishi wa Jimbo la Bububu, kupitia CCM, Hussein Ibrahim Makungu, akiwa katikati ya umati wa wanachama wa CCM, akisebeneka nao kwa pamoja wakati wa Sherehe za za uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Geji, mjini Unguja jana Sept 02, 2012. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment