Saturday, September 15, 2012

SIMBA YAIKUNG'UTA AFRICAN LYON 3-0



Mchezaji Daniel Akuffor wa Simba akitafuta mbinu ya kumtoka Obina Salamusasa wa African Lyon FC, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment