Wednesday, September 12, 2012

WAJUMBE WA BODI YA UDHAMINI WA PSPF WAFANYA ZIARA KATIKA MIRADI YA UWEKEZAJI




Mshauri Muelekezi kutoka Chuo cha Kikuu cha Ardhi Dr. Huba  Nguluma akitoa maelezo kuhusu mradi wawa ujenzi unaoendelea wa Jengo la kitega uchumi la PSPF lililoko Sokoine Drive kwa Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF wakiwa ziarani katika Mradi wa Nyumba za wanachama ulioko Chanika Buyuni Dar es Salaam.  Mradi wa nyumba hizi una jumla ya nyumba 641 Dar es Salaam (491), Morogoro (25), Mtwara (50), Shinyanga (50) naTabora (25)

No comments:

Post a Comment