Friday, September 7, 2012

WAKALI KIBAO WASHIRIKI KATIKA FILAMU YA OXYGEN




Msanii wa filamu nchini Hashimu Kambi ameibuka na filamu mpya itakayokwenda kwa jina la OXYGEN ambayo inamafundisho

lukuki katika firamu hiyo

iliyoshilikisha mastaa kibao akiwemo Elizabeth Michael 'LULU' akifanya vitu vyake na kuitendea haki filamu hiyo

yenye zana nzima ya kuikumbusha familia jinsi ya kuishi

Wasanii wengine walioshiliki ni Grece Mapunda,Sydneys Khanga na wengine wengi

Filamu hiyo itakayokuwa ikisambazwa na Kampuni ya Splash ya jijini Dar es salaam itatoka wakati wowote ule hivyo

wapenzi wa filamu wakae mkao wa kula kwa kupata burudani iliyokwenda shule ili wapate kuburudika na kujifunza mambo

mbalimbali yaliyokuwemo katika filamu hiyo

No comments:

Post a Comment