Saturday, October 20, 2012

ALWATEN ARTIST THEATRE WAENDELEA KUFANYA MAZOEZI


Mkurugenzi wa kundi la Alwaten Artist Theatre Haji Dilunga  kushot akizungumza na wasanii wa kundi hilo lilipokuwa likifanya Mazoezi katika ukumbi wa Amana CCM Leo

Mkurugenzi wa kundi la Alwaten Artist Theatre Haji Dilunga  kushot akizungumza na wasanii wa kundi hilo lilipokuwa likifanya Mazoezi katika ukumbi wa Amana CCM Leo kundi hili kwa sasa limejizatiti kutoa filamu kali zitakazokuja tikisa nchini

Mkurugenzi wa kundi la Alwaten Artist Theatre Haji Dilunga  akisisitiza jambo wakati wa mazoezi ya kundi hilo

WASANII wa kundi la  Alwaten Artist Theatre lipo mbioni kutoa kazi zake mpya mwishoni mwa mwaka huu baada ya kutoa kazi nane zilizopita

Akizungumza Mkurugenzi wa kundi la Alwaten Artist Theatre Haji Dilunga  amesema kuwa kundi lao lenye malengo mazuri ya wasanii chipkiz nchini kwa kuwa sasa sanaa ni ajira

kwa wasanii na kuongeza kuwa wanapokea wasanii wachanga kwa ajili ya kujifunza sanaa kwa ajili ya kuendeleza vipaji vyao

alitoa wito kwa wasanii kuja kujiunga na kikundi chao kilichopo AMANA CCM kwa ajili ya mazoezi
DILUNGA ALIONGEZA KWA KUWAPA NAFASI WENYE NIA YA KUJIUNGA WANAWEZA KUWASILIANA KWA NAMBA ZA SIMU 0754430906 AU 0653970337 
Ili wajiunge kwa mafunzi hayo alitaja baazi ya kazi walizowai kutoa ni Uwanja wa Zambi, Ilove Yuo,PicNick,Bunge la Wachawi
Popo Bawa
Zindiko 
na nyingine nyingi zilizopo sokoni kwa sasa

No comments:

Post a Comment