Monday, October 22, 2012

ANDREW CHALE ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA TIGO PAMOJA NA WATOTO YATIMA




 Akikata keki.
Mtoto Mashaka Juma wa kituo cha Mitindo House, akimlisha keki kwa niaba ya watoto wenzake zaidi ya 50 waliojitokeza wakati wa sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwandishi wa gazeti hili Andrew Chale,  jana iliyofanyika ndani ya viunga vya Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na kampuni ya Tigo Tanzania na American Garden.
 Wenceslaus Kisarika ambae ni Marketing Manager wa K&K pamoja  Cons  Ltd, akifungua shampeni ...Andrew Chale pembeni
Picha ya ukumbusho pamoja na watoto.

No comments:

Post a Comment