Monday, October 29, 2012

AZAM FC WAMTIMUA KOCHA WAO


Klabu ya AZAM imemtimua kocha wao mpya aliyetengazwa kwa mbwembwe siku alipotua nchini Boris Bunjak .
 
 kocha huyo ametimuliwa baada ya kufungwa mabao matatu kwa moja dhidi ya simba katika mchezo wa ligi kuu TANZANIA BARA .

No comments:

Post a Comment