Monday, October 29, 2012

DK MWAKYEMBE AZINDUA USAFIRI WA TRENI ZA ABIRIA DAR Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) leo.


Baadhi ya abiria wakipanda treni ya TRL, kutoka Ubungo Maziwa kwenda stesheni Dar
Wananchi wakiangalia uzinduzi huo
Dk. Mwakyembe akiwapungugia wananchi alipoteremka Buguruni, tayari kwenda kuzindua usafiri wa treni ya Tazara
Wasanii wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Treni ya abiria Tazara leo
Dk. Mwakyembe akiangalia jinsi tketi zinavyouzwa kwa mashine maalumu
Dk. Mwakyembe ndani ya Treni ya abiria ya Tazara
Mmoja wa abiria akipata matibabu katika chumba kilichoandaliwa maalum kwa ajili ya huduma ya kwanza ndani ya Treni ya Tazara.
Dk. Mwakyembe na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Omar Chombo wakihudumiwa chani ndani ya Treni ya Tazara
Abiria wakifaidi usafiri wa Treni ya Tazara kutoka Stesheni ya Tazara makao makuu hadi Pugu Mwakanga.
Mmoja wa abiria akipanda Treni ya Tazara katika kituo cha Moshi Baa jijini Dar es Salaam. Nauli ya usafiri wa Tazara ni sh. 500 kwa mtu mzima na sh. 100 kwa mwanafunzi.
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akipanda kwenye treni jana katika Stesheni ya Pugu Mwakanga wakati wa uzinduzi usafiri wa treni wa abiria jijini Dar es Salaam kwa njia ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara).Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tazara, Damas Ndumbaro. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)
Abiria wakinunua tiketi za treni zinazouzwa kwa kutumia mashine maalum.

No comments:

Post a Comment