Wednesday, October 24, 2012

KAMPUNI YA TINO MUYA KUZINDUA FILAMU YA C.I.D



Msanii wa filamu nchini, Hisan Muya akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa filamu ya C.I.D utakaofanyika siku ya Ijumaa katika Ukumbi wa Business Park Victoria. Kulia ni Meneja wa kampuni ya Tino Muya, Wilson Makubi. Picha na Habari Mseto Blog

No comments:

Post a Comment