


 Picha juu na chini ni washaktakiwa zaidi ya 50 wakiwa pamoja na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda wakiwa ndani ya karandimnga la polisi  

 Baadhi ya akina mama wanaounganishwa kwenye mashtaka hayo pamoja na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda 

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda
 (wa tatu kulia)leo akiwa ndani ya mahakam ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini
 Dar es Salaam leo na wenzake 50 kujibu mashtaka mbalimbali pamoja na 
kuwashawishi baadhi ya Waislamu kuvamia 
eneo la Kiwanja katika eneo la Chang'ombe jijini Dar es Salaam, kuwashawishi Waislamu kutojitokeza katika zoezi la Uandikishaji katika Sensa ya Watu na Makazi. 
No comments:
Post a Comment